Quantcast
Channel: African Music – Bongo Celebrity
Viewing all 130 articles
Browse latest View live

“Sawa Na Wao”-Lady JayDee (NeW)

$
0
0

Sawa na Wao-Lady Jaydee

Lady Jaydee anapotoa wimbo mpya, sharti tusikilize. She is our icon. A lady who has survived through thorns and bushes of our music industry. Long time kitambo.

Sina uhakika kama huu ni muziki bora kutoka kwa Jaydee.Kwa kuusikiliza naona kama nimeshawahi kuusikia.Lakini nimeshasikiliza sana muziki wa kiafrika hususani nilipowahi kujitolea mara kadhaa kufanya kazi na matamasha ya muziki wa kiafrika miaka ya nyuma.

Huu hapa Sawa na Wao kutoka kwa Lady Jaydee. Audio courtesy ya DJ Choka.


Yemi Alade – Africa (Official Video) ft. Sauti Sol

$
0
0

Yemi-Alade-Africa-Sauti Sol-Video

Pamoja na matatizo lukuki inayokabiliana nayo, Africa bado ni sehemu nzuri. Na kwetu sisi watu weusi, Afrika ndio nyumbani. Ndio asili yetu. Na bila shaka umewahi kusikia kwamba asili ya ubinadamu ni Africa.Mkataa kwao ni mtumwa. Afrika bado ni mahali ambapo ubinadamu bado unatawala. Ni wazi yapo mengi ambayo tunahitaji kuyafanyia kazi. Afrika!

Hii hapa ni video kutoka kwa Yemi Alade katika wimbo Africa akiwa amewashirikisha Sauti Sol kutoka Kenya.

 

Dangerous Boy – Izzo Bizness & Abela Music [THE AMAZING] ( Official Music Video )

$
0
0

Dangerous Boy-Izzo Bizness-Adela Music-The Amazing Music Group

Izzo Bizness and Abela Music have collaborated in this summer jam Dangerous Boy from The Amazing Music Group. I loved this joint because somehow it took me back to when Izzo came to the scene with his conscious music/message. He is telling something…

Diamond Platnumz ft P’square KIDOGO (Official Video)

$
0
0

Diamond Platnumz ft P'square KIDOGO (Official Video)

Miongoni mwa nyimbo/video ambazo zimesubiriwa kwa hamu mwaka huu ni pamoja na hii. Ushirikiano wa Diamond Platinumz na P-Square ni jambo zuri. Wote ni wanamuziki wenye jina barani Afrika na hata nje.

Kwa mujibu wa taarifa iliyoambatana na wimbo huu, mikono na akili za wengi zimesheheni. Umeandikwa na Diamond Platinumz na P-Square wakiwa jijini Lagos tarehe 10 January 2015 ndani ya Square Records.

Beat ni kutoka kwa SHIRKO kutoka Tanzania kisha ikachanganywa na V-Teck kutoka Nigeria na kuongezewa vionjo na Laizer kutoka Wasafi Records-Tanzania. Video Imetengenezwa na Godfather jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

“Sawa”- Shaa (BrAnD NeW)

$
0
0

Shaa-Sawa-Wimbo-Mpya

Kuna kitu ambacho kinanivutia sana kuhusu muziki kutoka kwa Shaa hususani tangu alipoamua kufanya muziki ambao mimi nauita “wa kwetu”. Ni aina fulani ya muziki ambayo naamini kama tungeamua kuipa nafasi isingetulaza kama tumekunywa klorofomu.

Ila hayo tutatafuta muda tuyaongelee. Ngoja kwanza nawe usikilize “Sawa” kutoka kwa Shaa. Sawa eenh!

“Perfect Combo”-Joh Makini Feat. Chidinma (NeW)

$
0
0

"Perfect Combo"-Joh Makini Feat. Chidinma (NeW)

There’s no doubt Joh Makini has come a long way. To get where he is, he had to hustle hard. I mean street hustle can be a blowhard. When I hear him considering himself to be the best in East Africa, I disagree but respectfully admire the tone.

Perhaps what makes him “the best” is how he has managed to keep hip-hop on higher rotation with his man-group, Weusi. They did well. Or are doing well.

Now come “Perfect Combo” collaboration with Nigerian artist Chidinma. The song was produced by R-Kay who hails from Kenya. Joh Makini is without breathing a new life into cross-national collaboration for hip-hop artist.

SHiiKANE – LOKE (prod. MasterKraft)

$
0
0

SHiiKANE-Loke

After a brief hiatus the ladies we have come to know and admire as SHiiKANE are back. This time they’re even more mesmerizing with a revamped image and more daring experimental sound. It’s a pulse pounding and electrifying vibe that is guaranteed to get their fans excited. It’s a tune you simply can’t afford to miss or get along without in your Summer 2016 hits list.

To add the kick in their journey, the ladies have been nominated for their first NEAAward for Best Diaspora Act 2016 and are headlining the Afrobeat Music Festival in London.

All this follows the success of their remix to hit single Tuele. Without a doubt SHiiKANE are set to take the African music scene by storm starting with a banger titled “Loke” produced by legendary producer Masterkraft.

According to notes released from their camp, they are just starting. Stay tune for more and more.

“Kazi Kazi”-Professor Jay Feat.Sholo Mwamba (BrAnD NeW)

$
0
0

Official Artwork- Kazi Kazi-Professor Jay-Featuring-Sholo Mwamba

For the first time since being elected to represent people of Mikumi Constituency in the legislature, Professor Jay, has a new song. It’s a reminder of who he is; an artist turned politician.

There’s a lot I would like to say about this new single in the roaring genre, Singeli. However, let me reserve my comments for the near future. That said, here is Kazi Kazi from Professor Jay featuring Sholo Mwamba.


“Waache Waoane”-Chege Ft.Diamond Platinumz

$
0
0

Waache-Waoane-Chege-Diamond-Platinumz

As Friday looms, we thank God it is here. Music is always a great company. The new joint is even better. Talking about new joint here is a new one from Chege featuring Diamond Platinumz. Waache Waoane is the name of the song. Literal translation; Let Them Marry Each Other.

“Msengenyo”-AT & Peter Msechu (BrAnD NeW)

$
0
0

Msengenyo-AT na Peter Msechu

Kwa miaka nenda rudi, linapokuja suala la muziki Tanzania tumekuwa tukijiweka mahali salama. Namaanisha tumekuwa waoga wa kujitoa “fahamu” (wenzetu wanasema taking risks) na kujaribu kuogelea kwenye mawimbi tofauti. Tumeogopa kuzama. Uoga umekuwa ukitushika kwa kuyatazama mawimbi ya jioni.

 

Kwa kiasi kikubwa tumekuwa tukichukua vionjo mbalimbali vya muziki au aina kutoka nje na kuzifanya kuwa “zetu”. Mara nyingi tumebadili tu lugha na kuona fahari kwamba tunao muziki wetu. Historia ni ndefu. Kuanzia muziki wa dansi, jazz, bongo fleva/hip hop nk hali imekuwa hiyo. Matokeo yake, kama ilivyo kwenye masuala ya vazi la taifa, tumebakia kuwa na mlolongo mrefu wa majadiliano. Hatujafika.

 

Tulipokuwa na aina za muziki (mfano wa mwambao) ukichunguza utakuta kuna vionjo vingi kutoka mashariki ya mbali na arabuni. Pengine ndivyo muziki wa dunia ulivyo. Hata hivyo, leo hii ukiulizwa muziki wa Tanzania ni upi, utapata tabu kujibu. Ukiulizwa wa Afrika Kusini utaujua. Ukisikia muziki wa Mali,Senegal,Benin nk utautambua. Hali ni hiyo hiyo kwa Ghana, Nigeria nk.

 

Fast forward 2015/2016. Tunao muziki unaoitwa Singeli. Tayari majina ya muziki kama Professor Jay wameanza kuonyesha njia na mtizamo. Tunajaribu kutiririka nao. Tukikazana na kuufanyia masoko ya kimataifa, naamini tunaweza kuuita “wa kwetu” na tukaeleweka. Naufuatilia kwa shauku kubwa.

 

Katika muendelezo wa hii vibe mpya, huu hapa ni wimbo kutoka kwa AT na Peter Msechu. Unaitwa Msengenyo. Umeandaliwa pale Uprise Music na producer Fraga. Kwa mujibu wa notes nilizozipata aina hii ya muziki au style hii, inaitwa Singeli Vanga. Kama umewahi kutembelea nje ya Dar-es-salaam na hususani mkoani Pwani, bila shaka unajua jinsi Vanga linavyopendwa.

“Hawapendagi”-Ommy Dimpoz (NeW)

$
0
0

Hawapendagi-Ommy Dimpoz

Kwa muda mrefu Ommy Dimpoz alikuwa hajatoa wimbo mpya. Ni jana tu nikiwa safarini na ubani wangu tuliongelea ukimya wake. Ni kama vile alikuwa akitusikia.

Huu hapa wimbo mpya kutoka kwa Ommy Dimpoz. Unaitwa Hawapendagi. It’s a safe tune for his style.

#TBT: “Hii Leo”-East Coast Team

$
0
0
East Coast Team,Upanga,Dar-es-salaam

The East Coast Team

Leo naanzisha kipengele kipya. Kila Alhamisi nitakuwa natupia nyimbo,video nk kutoka katika harakati za mwanzo za Bongo Fleva/Hip-Hop na pia muziki wa Afrika kwa ujumla bila kusahau ile kutoka ughaibuni au Marekani ambayo kwa njia moja au nyingine ilisaidia kuibua “za kwetu”. Tutakuwa na Throw Back Thursday(TBT). Zamani tuliita “Zilipendwa”. Bado zipo za kale nyingi sana kwenye blog hii. Andika tu kwenye search button juu kulia “Zilipendwa”. Nakuhakikishia utafurahi na roho yako.

Baadhi ya hizi nyimbo ndizo zilitengeneza njia kufikia hapa ulipo muziki wa Tanzania. Naelewa bado tunahangaika kupata authentic Tanzanian music. Naamini tutafika. Tulipotoka sio mbali sana. Taifa letu bado ni changa ukilinganisha na mengine. The struggle is real.

Hii hapa ni Hii Leo kutoka East Coast Team vijana waliokuwa na makazi yao mitaa ya Upanga jijini Dar-es-salaam. East Coast team iliundwa na vijana wengi wakiwemo Crazy GK, AY,MwanaFA,Abbas nk. MwanaFA na AY waliendelea kivyao baadae na kuwa na mafanikio makubwa. Lakini hawajawahi kuondoka East Coast. Mara kwa mara pamekuwa na tetesi za East Coast kurudiana na kutoa project ya pamoja. Tunasubiri.

Wacheki hapa kwenye wimbo wao Hii Leo

VIDEO: “Natafuta Kiki”-Raymond (WCB)

$
0
0

Natafuta Kiki-WCB-Raymond

Hii hapa ni video mpya kutoka WCB kwa msanii Raymond. Wimbo huu unaoitwa Natafuta Kiki ni production ya Lizer Classic kutoka Wasafi Records. Wimbo umeandikwa na Raymond huku video ikiwa ni kazi ya Kwetu Studio

 

#TBT:”Zali La Mentali”- Professor Jay

$
0
0
Professor Jay,Mheshimiwa Joseph Haule,Chadema,Mikumi

Professor Jay au ukipenda Mheshimiwa Joseph Haule, Mbunge wa Mikumi kupitia CHADEMA

Kabla hajawa Professor Jay, alikuwa na majina mengine lukuki. Miongoni mwa nyimbo zake zilizopendwa ni pamoja na Zali La Mentali akiwa amemshirikisha Juma Nature. Ni kisa na mkasa wa maisha. Zali linaweza kukuangukia. Ila sio uishi ukitegemea “zali”. Kazi ni muhimu.

Hii ndio #TBT yetu ya leo

“Salome”- Diamond Platinumz Feat. RayNavvy (VIDEO)

$
0
0

diamond-ft-rayvanny-salome

In the late 90s, the music genre we know it as “Bongo Fleva” was at the peak. Different kind of peak because music is a living thing. It goes through stages. Ups and downs.  Creativity was at all time high. Producers like MJ, P-Funk Majani, Enriko and Mika Mwamba were competing (in a good way) to not only establish themselves in the game but also to dominate.

There were few studios. It wasn’t as easy as it is today for anyone to go into a studio and record. Times have changed. You needed talent. Something unique was your ticket into the booth.

It was around that era when a relatively unknown Saida Karoli emerged. She was a sweet surprise. By that time, FM Studios owned by business person Felix Muta (thus FM) had one of the most talented producers, Mika Mwamba. He had done it all. Choirs, Bongo Dance, Taarab, etc.

Within a short time, the work between these Mika Mwamba and unknown Saida Karoli became “the talk of the town.” The mix of flevas between traditional vibes from northern Tanzania produced magic. It worked. Saida Karoli became a superstar. I remember one time when I was in Uganda; she performed at a full packed Nakivubo Stadium to the surprise of even President Museveni.

Long story short; unfortunately  Saida Karoli didn’t last long. Just as she came into the scene with a bang, her exit was almost similar. Last time I heard, she was back to her village, married and very house wife.

Years later, it’s great to see Diamond Platinumz who is without a doubt a current reigning ambassador of Bongo Fleva, coming out with a perfect rendition and mix of Salome which as you may have sensed from above, was originally done by Saida Karoli. Diamond collaborated with RayNavvy who is among artists forming his organic label, Wasafi Classic.

Here is the video for Salome


“Maumivu”-Esaya

$
0
0

esaya

On a daily basis, we receive many new songs/artists requests for publication of their content. I wish I could keep up with everything sent in. I can’t. However, I try to listen to everything sent in. There are lots of talents out there. There are surprises. I mean surprise in a bad way. You listen and go WTF. Who took this man/woman into a studio? Trust me; I get a lot of those.

Among listenable stuff, here is Maumivu by Esaya. You may not have heard about him before. I understand. Keep watching and listening. Moreover, listen to this one. The details are on the image above.

Lady Jaydee – Sawa Na Wao (Official Music Video)

$
0
0

Lady Jaydee,Sawa Na Wao,Official video

Back in the 90s, Judith Wambura emerged as one of few female artists in Tanzania. The “movement” of the new generation music had started. I am not sure if we referred her as “Lady” then. She understood that haste makes waste. Slowly but steadily the lady we now know as Lady Jaydee became dominant.

When I look back and ask myself how has she maintained her position even in the industry full men, the simple answer could be “knowing thyself.” She knows who she is. Those who thought she is a sitting target have come to realize they were/are wrong.

The fans have showered her with different names including “Commando.” They refer to her toughness to fight injustice, sexism and all the above. Among multiple names, however, Lady Jaydee suits her life and persona.

Under Rockstar4000 Management, here is the official video for her latest single titled Sawa Na Wao. The notes from publication reads;

‘Sawa Na Wao’ is all about life, love, relationships and portraits life through the lens of a relationship and some of those temptations distractions that often disrupts or destroy those relationships. Lady Jaydee’s next smash hit release through her exclusive worldwide partnerships with her record label and management company ROCKSTAR4000, publishing collaboration with ‘Rockstar Publishing’ and Content Partnership with RockstarTV.

The ‘Sawa Na Wao’ music video was Directed by the phenomenal Director Meji.

You can watch it below

 

TIZAMA: “Moyo Mweupe”-Masanja Mkandamizaji (VIDEO)

$
0
0

masanja-mkandamizaji1

Masanja Mkandakimizaji ni mchekeshaji. Ni Comedian kwa kutumia lugha ya kuazima. Lakini mbali ya kuwa mchekeshaji, anafahamika pia kama mhubiri na kijana ambaye amempokea Bwana Yesu kuwa mwokozi wake.

Wakati mwingine ni ngumu kuona jinsi ambavyo wokovu unaweza kwenda sambamba na uchekeshaji. Hata hivyo, Masanja, kwa njia nyingi ameweza kuonyesha inawezekana. Mkandamizaji ambaye hivi karibuni alifunga pingu za maisha, amekuwa mstari wa mbele kuelezea mafunzo kwa vijana kutokana na uzoefu wake binafsi.Mbali ya kuhubiri, Masanja pia ni mwimbaji. Anapenda zaidi kuimba nyimbo za injili (gospel)

Kwa mfano, anaelezea jinsi uaminifu ulivyo na thamani. Anahadithia mara kwa mara jinsi alivyokuwa akiuza juisi hapa na pale baada ya yeye kukopeshwa na kisha jioni kwenda kulipa deni.

Huyu hapa ni Masanja Mkandamizaji katika video mpya ya wimbo Mweupe

NNEW VIDEO: Q Boy ft Rayvanny & Shetta – MUGACHERERE (Official Music Video)

$
0
0

This Song was written by Qboy masafi ,Rayvvany & Shetta The beat was produced by LAIZER CLASSIC from Tanzania Wasafi Records The Video was shot in Johannesburg, South Africa by Director Nicorux.

Sometimes I feel like I am loosing my Swahili. There are lots of street jargons and slangs that I am not aware of. Mugacherere could be one of those words. I have no idea what it means. Do I need an updated dictionary from TUKI? You bet.

All in all, the new generation is rocking. Folks like me from the old good 90s have a lot to learn. You can tell there’s something I want to say. But let me keep that for the next chapter. Here is a new video from Wasafi… song Mugacherere by Q Boy Featuring RayNavvy and Shetta.

This Song was written by Qboy masafi ,Rayvvany & Shetta The beat was produced by LAIZER CLASSIC from Tanzania Wasafi Records The Video was shot in Johannesburg, South Africa by Director Nicorux.

“Rewind”-Tiwa Savage (Official Video)

$
0
0

Tiwa Savage,Rewind

If admission is a good thing, I got one. I am a fan of Tiwa Savage and her music. I think she’s talented (and beautiful). Here is her latest video from RED album. The song is Rewind. Watch

Viewing all 130 articles
Browse latest View live


Latest Images