$ 0 0 Huna haja ya kusubiri zaidi. Video ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee uitwao Niroge. Wimbo huu umerekodiwa na Nahreel. Reaction yangu ya kwanza ni kwamba video ni nzuri. Pengine nimeshawahi kuiona video kama hii mahali pengine. Lakini ni nzuri.