“Kajiandae”-Ommy Dimpoz Feat. Ali Kiba (Official Video)
RockStar4000 Sign Legendary Zambian Singer/Songwriter, Maureen Lilanda, To A Global Deal
JOHANNESBURG, Monday, 31st October 2016 – ROCKSTAR4000 have signed multiple award-winning Zambian singer-songwriter-musician Maureen Lilanda to a global agreement. Zambia’s leading lady of music, Maureen Lilanda and the ROCKSTAR4000 Zambia team inked the deal during an exclusive signing session in Lusaka and will see the accomplished Zambian recording artist release both her back catalog and highly anticipated future master recordings exclusively through ROCKSTAR4000 worldwide.
“I’m really excited in the future of music from Zambia as its now the time for the amazing music and sounds from Zambia to take over Africa and the world, and I’m thrilled on where this amazing partnership will be able to take my music now without borders or restrictions to fans anywhere on the planet. ” Maureen commented.
“As the leading full service Pan African music entertainment network we are truly excited to now welcome the Queen of Zambian music to our family and cant wait to embark on this new Pan African and global journey with Maureen!” noted Jandre Louw, Founder & CEO of ROCKSTAR4000
“Maureen Lilanda is a highly accomplished Zambian singer-songwriter and the signing aligns strategically in sync with our highly accomplished successes and growth strategy as a group in taking the best of music entertainment from the continent to the rest of the world and are thrilled to welcome the Queen of Zambia to our royal family of Rockstars!” says Seven, Head of Talent and Music Pan African, ROCKSTAR4000
Maureen Lupo Lilanda’s distinctive voice, unique talent and generous spirit have secured her a place as one of Zambias top musicians and best female artists. With a range of musical styles from jazz to pop, Maureen blends African rhythms and flavours with sophisticated, contemporary rhythms and influences. For the past 20 years Maureen has traveled extensively, performing across Europe and Japan as well as regionally and has shared the stage with ‘Black Voices’ from the UK, Zimbabwe’s ‘Oliver Mutukudzi’, ‘Jonathan Butler’ from South Africa, ‘Fra Fra’ from the Netherlands, ‘Magic System’ from West Africa and ‘Baba Maal’ from Senegal, to name a few. Maureen has also been a regular leading feature at the annual Livingstone Festival.
Maureen has released four albums to date, ‘Nandayeye’, ‘Coming Home’, ‘Evolution’ and her latest album ‘Tetwe’. She is also lead vocalist of her European band, ‘Le Banquets de Nomads’ whose album ‘Afora’ combines Senegalese, Zambian and Belgian fusions. Maureen was lead singer of the famous Zambian Acapela group ‘Amashiwe’, which performed at the 1999 Livingstone Festival. Maureen has been awarded ‘Best female artiste by the National Arts Council for an historic four times and winner of the South African CEO Awards for the Most Influential Woman In The Arts in Zambia and the Southern Region. Maureen is also the First female President of Zambia Association of Musicians.
“If there’s anyone the deserves such a huge opportunity it’s definitely Maureen. Through Rockstar4000, she will finally reach every corner of the Africa and the world. We at Sling Beats are very happy to be a part of this great synergy that will advance Zambian music. I personally can’t wait to begin work on the album.”
“Maureen Lilanda is a Zambian superstar already as evident by all her accolades and successes and the extent of her huge ever growing fanbase. Maureen joining our family and groups further signifies our significant focus on Zambia and the region and our strategic commitment to Zambia’s best in music entertainment.” noted Munya Daka, ROCKSTAR4000 Zambia & Uganda
“Hata What U Do To Me”-2Baba (Official Video)
2Face Idibia aka 2Baba is without a doubt one of the gifted talents from Africa. He also took Afro music to the next level when he released African Queen a decade ago. While he has gone through normal musical graphs (ups and downs), he is still standing.
From his 2014 Ascension album, here is the video for Hate What U Do To Me.
New JoINt: “Twende Wote”-Steve RnB
Steve RnB is back. Well…he is here once again. It’s like yesterday and the grasses are just as green. On both sides of the fences. He’s shining the light with Twende Wote(literally translation Let’s Get Going Together). With the same bursting reputation as one of the most talented vocalists, Steve is on it. Listen
Song Credits:
Studio produce:Sei Records
Producer:Sendo n Sei
Facebook:Steve RnB
Instagram:stevernb
Tweeter:steveRnBTz
“Muziki”-Darassa Feat Ben Pol (Official Video)
The holiday season is here. In the western world, the lights are on and official trees are at city halls. Holiday season mean everything. After all the year is coming to an end. You Thank Allah/God/Mungu. 365 days ain’t no joke.
To some folks that mean taking a long trip home to see the loved ones. Or if your loved ones aren’t that far, it means cracking the volume knob high and let it loose. Let the dogs out.
Whether you are home or on the long journey mesmerizing, here is one hit song special for holiday season that will make you giggle and smile. Of course, you can jump high. Feel it. Own the world like never before. You live once and that means trying to push away any regrets. It’s a collaboration between Darassa and Ben Pol. The song is Muziki.
WHAT I THINK:”Kokoro”-Rich Mavoko Feat.Diamond Platnumz (Official Video)
Majuzi Rich Mavoko ambaye hivi karibuni alisaini na lebo ya WCB iliyo chini ya mwanamuziki mwenzake Diamond Platinumz ametoa wimbo “Kokoro”. Amemshirikisha Diamond Platinumz. Kwa mujibu wa Diamond, ameshirikiana na Rich ili kuanza kumuandalia na kumtengenezea soko la kimataifa akianza na Afrika.Wazo zuri na mpango mzuri.
Yapo mawili ambayo, kama lilivyo jina la wimbo, yameanza kuleta “kokoro”. Kabla sijasema zaidi, niweke wazi kwamba video ni nzuri. On point. Ubunifu wa mavazi uliotumika ni wa hali ya juu. Unaweza kukuaminisha visivyo. Well done.
Sasa limeelezwa suala la maadili ya mwafrika hususani mwanamke wa kiafrika.Ukiitizama video utaona vipande kadhaa vinavyoonyesha vitu vinavyoonekana kama “chuchu”(watoto fungeni macho). Baraza La Sanaa La Tanzania wanasema wanaifanyia uhakiki. Sijui ni uhakiki gani. Wakimaliza uhakiki labda tutasikia.
Kimsingi sioni cha ajabu. Dunia tuliyonayo imejaa haya mambo. Usipoyaona kwenye video,utakutana nayo kwenye bango la matangazo kwenye barabara anayoitumia pia “Mheshimiwa”. Utayaona hadi msalani kwenye hotel ya “maana”. Wanakukumbusha. Ni nyakati tofauti. Ukiniuliza mimi kuhusu “maadili” nitakwambia hata sijui tunaongelea nini. Yepi? Cha msingi labda ni kuziwekea aina fulani za video maneno au kato la umri. 13+ and above kwa mfano. Wenzetu wana “Clean” na Explicit”
TV na radio station nazo ziamue muda wa kuzirusha (aidha kwa kuzingatia maadili au kuokoa tu kizazi kijacho). Najua hawawezi kufanya hivyo. Faida mbele. Lakini twende mbele na kurudi nyuma, dunia imebadilika. Kujidanganya kwamba tunaweza kuwa kama kijiji ni upuuzi wa mchana(wa usiku una afadhali) Abiria chunga mzigo wako. Mzazi linda mwanao. Muelimishe.Ongea naye. Ukisema serikali itakusaidia kumuangalia kwa kupitisha sheria za kindumilakuwili,hufiki. Mpiga ngumi ukuta huumiza mikono yake.
La pili ninaloliona ni kwamba muziki wa kutokea Tanzania umetekwa na ule wa kutoka Nigeria. Ni ngumu kuona hata tofauti. Kunakili inaruhusiwa. Sisi tunagandamizia. Najua soko la Nigeria lipo and we are not hating Nigerians.No.Ila sasa naona hata tungo tumeingilia huko huko. We now speak Yoruba, sing Hausa and rhym in Igbo? Some of our music now sounds like Eric Omondi’s imitations. Seriously.
Na najua kwamba mwanamuziki kama Diamond ana wapenzi wengi sana Nigeria. Lakini hiyo ndio sababu ya kunakili takribani kila kitu chao? Sidhani. Tubadilike. Tufanye muziki ambao unakwenda na yetu. Tayari wanajua Tanzania kuna muziki. Lakini wakiendelea kusikia copy and paste za miziki yao, hata wao watatuona midosho. Inawezekana kabisa tukaendelea na yetu.
Na wengi wanahusika. Sio tu artists wenyewe bali pia producers,managers, radio presenters nk. Sikatai you can get inspired from anywhere in the world. But don’t be just another duplicate. You can’t make it far by being a copycat.Be original. Let’s get real folks. All said,here is
WATCH: “Utanifaa”-Grace Matata (Official New Video)
Kama umewahi kumshuhudia Grace Matata akiwa jukwaani bila shaka unakubaliana nami kwamba she’s a true artist. She’s excellent. Vijana wengi wanaojaribu kuingia kwenye fani ya muziki wanaweza kujifunza mengi kutoka kwa Grace.
Unaweza kucheki kazi zake mbalimbali kwa ku-search tu kwenye YouTube. Wakati unafanya hivyo,hii hapa ni video mpya kutoka kwake. Wimbo unaitwa Utanifaa. Tizama
Shaa!
I am a big fan of Shaa. I think she’s a pure talent. I have interviewed Shaa in the past. Too bad we never got to publish that interview. Long story.
I saw the above pic in news circles today.Isn’t she sexy? According to Bongo5.com, she is okay to sing any type of music. Well, she can. We have seen her evolving. Did you see her in Sugua Gaga?
MwanaFA & Vanessa: #DumeSuruali (Official Video)
Katika siku za usoni,nimekuwa nikitumia muda wangu mwingi garini. Muda huo umenipa fursa ya kusikiliza muziki,podcasts,audio books nk. Nimegundua upya kwamba ninapokuwa na muziki,podcasts na audio books, upweke ni hadithi ya kutungwa. Sichoki.Nasikiliza kisha nawaza. Nauwaza ubinadamu.Namuomba Mungu aniepushe na majanga na kuwapa muda mrefu wa maisha wasionitakia mema(wachache tu lakini)
Katika sikiliza zangu,niliusikia wimbo wa FA wa Asanteni Kwa Kuja. Nikajiuliza huyu mnyamwezi wangu hajatoa wimbo mpya siku nyingi.FA ni rafiki yangu. Pia mimi ni shabiki wake. Huwa namuita Kamusi kutokana na wingi wa mistari kichwani kwake. FA kumbe alikuwa kama ananisikiliza. Kwa kushirikiana na Vanessa wakaangusha #DumeSuruali. Nilimwambia Vanessa kwamba nimeuweka kwenye Repeat Mode.
Ni ngoma nzuri.Nimeipenda. Jambo moja zuri kuhusu hii ngoma ni kwamba inaibua pia mjadala. Ni kuhusu mahusiano. Kuuelewa lazima uusikilize zaidi ya mara moja. FA anauliza ahonge ina nini ndani? Ina TV? Vanessa naye anasema yake. Wanaume wa hivyo wa nini sasa?
Ben Pol: King Of RnB In Tanzania?
Hivi karibuni Ben Pol alinukuliwa akielezea jinsi ambavyo ameupa muziki wa RnB heshima nchini Tanzania. Ben anaamini kwamba, mpaka sasa, yeye ndio artist ambaye ameufanya muziki wa RnB ukubalike zaidi miongoni mwa mashabiki tofauti ya hapo awali.
Sasa kama ilivyo Hip-Hop, iliotata mizizi baada ya kuazimwa toka magharibi na hususani nchini Marekani. Wasaanii kama Professor Jay,Sugu na hata waasisi kama Saleh Jabri watakwambia walivutiwa na muziki wa “kufoka foka” toka Marekani. RnB pia.
Ni ngumu kukubali au kukataa kauli ya Ben Pol. Anaongelea wakati uliopo.Hakuwepo enzi za makundi kama Four Crew Fleva ya kina Paul Mbena na wenzake au enzi za Mawingu za kina Sindila. Kila nyakati huwa zina “wafalme” wake. Ndio maisha. Ndio ulimwengu. Mimi naamini hivyo.
Jambo moja ambalo hakuna hata haja ya kulikeshea ni kwamba Ben Pol ana kipaji cha hali ya juu. Ni mstaarabu. Ni mtanashati. Mojawapo ya nyimbo zake ambazo nazikubali sana ni pamoja na Moyo Mashine. This goes out to you.
WATCH: “Cash Madame”-Vanessa Mdee (Official ViDeO)
The streets call her Vee Money. She is, of course, Vanessa Mdee. With “money” in her name or nickname, cash gotta be the punch line. We talk about cash. Retired Floyd Mayweather does it put it well. He says, “Money isn’t everything. It’s the only thing”. In the world where your value is a human being is solely determined by the amount of $$ in your bank account or the cash you give, can’t argue with his statement.Can you?
Back to the subject. Vee has a new video for the song Cash Madame. I didn’t fall in love with it at first glance. I had to watch it again and again. Then I started getting the “cash madame” idea. The video could have included the different scenario of other cash madame or grand hustle of ladies out there. Here is the video
Have You Watched This? “Loving You”-Iyo Feat. Diamond Platinumz
2016 is rounding up. It’s almost 365 days gone.You are alive. Enough reason to be thankful. With the final days of 2016, come to the final leg of artists releasing their songs hoping to ace into this year’s Hall Of Fame. With just a couple of days to go, the pressure could me mounting.
Here is Nigerian Iyo featuring Diamond Platinumz. Watch it below
WATCH: Vanessa Mdee & Jux- Juu (Official Video)
These two are an item. It started like many others. It was a secret. When asked, they said No. No comment. The mature way of saying none of your business.But love is strange. It’s like a cough; you can’t hide it for long. They came out. Together. Since then they are an item.
As good as it goes, when two artists fall in love some of the things they talk about is collaboration. They want to test the seal of approval from fans. Will they like us in music as we like each other (or love)? Ask for the moon.
After over eight weeks since the audio version of their single Juu came out, the video is out. Madame Cash is on fire. They are on fire. Hold on a second. Is it their best? I think they could do better. The lyrics are as the crow flies.
Island In The Stream: The Love Life
I wish I could talk about the awards that took place over the weekend. I can’t. Doing so may upset the applecart. However, if I may, it wasn’t right for some prominent artists to be out. I am investigating WHY. It just ain’t right. The deal under the counter. If we don’t want to end up a blind alley, next time the organizers should/must do better. I said better meaning they already did a good job. Go ahead and clap. I have some minor info. It wasn’t their fault, not entirely.
But I was happy to hear my big brother Bonny Luv took the honor with a LifeTime Achievement Award. It was a long time coming. Some of us who have followed the history of music and entertainment in Tanzania can attest the significance of Bonny Luv. He is a living legend and a real brother. God bless him.
Then, if someone knocked someone cold, it was the lady of the hour. I am talking about Judith Wambura aka Lady Jaydee. She has more nicknames. She showed up, and her new man did the same. She is moving on for real. She gave the ex a kiss of death. The reaction from ex caused a social media storm. No one knows what he meant. Was it laughter or a cry from inside? Both?
Either way, I guess it’s alright to wish them well. I mean wish everyone well. The good, bad and ugly ends up somewhere. Kids stuff are kiddish. Period. Knock on the wood.
Ne-Yo Wants You To Listen To This Collaboration With Diamond Platinumz
Last week, Diamond Platinumz and his entire WCB crew snubbed the EastAfricanTV Awards. That didn’t sit well with some folks including myself. I think it was one of those wrong career moves. A stupid business decision especially with heavyweight sponsors like Vodacom, Coca-Cola, and Barclays into play. They keep records.No wonder there’s tension. The “teams” are up all night like starving owls. It’s going to take something else to let the coolants work.
As it was expected, there’s tension. The “teams” are up all night like starving owls. They are giving each other dirty looks. Ne-Yo is learning slowly through his Instagram account that freedom of speech can make anyone seem like a million dollars. It’s going to take something else to let the coolants work. There are a bunch of theories why WCB choked. Believe it or not, some claim witchcraft.
Amidst everything else, Diamond Platinumz can afford to say hey guys look what I am doing elsewhere. He wants you to live and let live. Diamond Platinumz right now can afford to sound like a cat that swallowed the canary. He’s flying somewhere near the rainbow.
That’s where International superstardom and support from stars like Ne-Yo could help. They have a collaboration that dropped in iTunes over ten days ago with unofficial copies available elsewhere online. Ne-Yo wants you to listen to it. The title is Marry You. Just search it on iTunes or CLICK HERE. Here is what Ne-Yo said
Here Is The Video Everyone Is Talking About
Love life is complicated. You fall in love and walk on cloud 9. Then six feet under seems ideal. Something hit you hard. You rule the roost. Control your destiny. To some the unlucky shots run in the family. Others are their misfortune. Love without expecting. Don’t create your disappointment.
The Lady is in love. After a rocky year, she seems to have found a dream. She is out of it and now living it. It could be ruffling other’s feathers. Mean people. A lifetime lesson to do you. Haters will hate.Always. Is she an open book? We don’t know. But to see her smiling and happy is a good thing.
That said, here is Lady Jaydee with her new found love. A brand new purpose in life. Together, they have joined stars who work together. They are no sitting on top of the world. Together.
“Kaa Nao”-Mwasiti (BrAnD NeW)
Kutana Na Mr.T Touch, Mpishi Mkuu Wa “Muziki” Wa Darassa
Kuna ambao hawapendi. Wengine wameifanya mioyo yao kuwa migumu kukubali. Ubinadamu kazi. Kuna ambao wanapenda utabibu wa muda. Muda ndio utaongea. Wanasema sio kila king’aacho ni dhahabu. Hata chupa hung’aa ikiwekwa juani.Wameketi wakisubiri. Macho yanapojifunga, wanaamshwa na uzito wa kichwa. Shingo imeshindwa kuhimili. Usingizi hauna adabu.Naam. Yote tisa. La kumi laja tukikaa chini na kutafakari. Kisha tukaukubali ukweli.
Ukweli ni kwamba mwaka 2016 unapoelekea ukingoni, upo wimbo ambao umezua mjadala. Umekuwa kinara. Hatamu umeshika. Ni wimbo/muziki unaoitwa Muziki. Dereva ni Darassa. Kuna udiriki wa kuuita wimbo wa taifa. Aghalabu ni utamu tu kolea. Unawaelewa lakini. Wanasema huku wameshika kichwa. Nao wanaitikia Uwiii.
Sasa kama ilivyo kwenye ubinadamu,mara nyingi sifa humwendea dereva. Fundi wa gari huwa hakumbukwi sana. Hukumbukwa mambo yakienda kombo. Uvungu wa gari sio nyumba ya kila mtu. Utasikia yule dereva fundi balaa. Anaendesha kama Lewis Hamilton. Wapachika matairi na injini huwa tunawasahau.
Kwenye Muziki Wa Darassa, wapo nyuma vijana wenzake (siongelei mashabiki). Kutoka Sinza Palestina, mambo yalienda chap chap. Thabith Mango au Mr.T Touch ndiye mpishi mkuu wa wimbo Muziki. Ameketi akibonyesha vitufe vya hapa na pale. Kwenye taswira anaye Darassa. Wamewahi kufanya kazi pamoja. Walikuwa pamoja kwenye Tunaishi Feat Nay, Heyaaye Ft.Mr Blue na Too Much. Mara hii hapiki mwenyewe. Anashirikiana na Abbah Process na Mr. VS.
Anapowasili Darassa, ni kama jemedari kaingia. Anasikiliza beat na kutikisa kichwa. Anatabasamu.Anajua anaweza kuenea. Amekuwa akiandika mashairi kadhaa tangu aachie Too Much. Bado analo la kusema hata anaamini kwamba ngozi yake pekee inatosha kusema.Yeye sio chui,simba na wala sio mamba. Ananyanyuka na kuweka mlegezo sawa na kuweka koo sawa kwa kikohozi cha kubabaishia. Twende kazini.
Kazi zikiendelea, mtu mmoja yupo vichwani mwa wote. Ni Ben Pol. Ukimweka Ben kwenye chorus kuna mawili. Anogeshe au akufunike. Ni Ferouz wa siku tulizonazo. Ben ataenea. Akisema kaboka mchizi ashadata,atadatisha wengi wengine. Tumekubaliana. Ni muda wa mavuno.
Mr.T Touch ananiambia mafanikio ya wimbo Muziki ni jambo ambalo hakulitarajia. Unapotengeneza kitu,unakiamini. Lakini katika dunia ya leo iliyojaa ushindani, unaombwa kuweka akiba ya maneno na vitendo. “Brother Jeff, hii kitu imetambaa haraka kuliko moto wa nyikani”, ananiambia T Touch. Nataka kumuuliza chanzo cha kujiita T.Touch lakini mara simu yake inaita. Anatakiwa kukamilisha ngoma nyingine. Ni kama anataka kuniambia Acha Maneno,Weka Muziki.
Nyimbo 20 (Top 20 Songs) Nilizozipenda Zaidi Kutoka Tanzania Mwaka 2016
Mwaka 2017 ndio kwanza umeanza. Bado tuna matongotongo ya 2016. Sufuria kubwa la pilau la sikukuu bado limelowekwa. Mapambo ya Mas Mas yangali yakiwaka kwenye mti na ukutani. Ohh 2016. Ulikuwa na mengi weye. Tafakuri mbalimbali zinaendelea huku mipango ya 2017 imeshaanza kutekelezwa. Dunia na saa zake inasonga.
Ulipotoka panaweza kuwa muhimu sawa na unapokwenda. Historia,wanasema wahenga, ni Mwalimu wa kutosha. Tunapoianza 2017 sio vibaya kuangalia 2016 hata kama ni kwa kutumia side-mirror. Kama unavyoiacha Milima ya Kitonga, 2016 nayo unaiona ileee. Tunataka tujue wapi tulijikwaa na wapi tuliangukia. Ukijikwaa kwenye kichuguu ni ngumu kuangukia kwenye kichuguu.
Kwenye sanaa yalijiri mengi. Vijana walichuana katika kutuletea burudani. Ni jambo la kheri. Sanaa huweka vyema historia ya jamii. Zaonya,kuelekeza na kufunza achilia mbali kuburudisha.Kazi nyingi zilikuwa nzuri. Rafiki yangu,ndugu yangu Brian huwa anapenda kuipa kazi ya sanaa muda. Anasema ikidumu kwa muda fulani basi hiyo kazi ni nzuri. Imestahimili jaribio la muda.
Huku nikijaribu kuzipa muda, kati ya nyimbo nyingi zilizotoka nchini Tanzania katika mwaka 2016, Top 20 zangu ni hizi hapa chini. Kwa sababu mbalimbali nilizipenda.Yaweza kuwa mdundo na maneno. Mimi huheshimu sana utunzi. Nasikiliza neno kwa neno. Rafiki yangu, Fadhy Mtanga, naye ni mgonjwa wa nahau na misamiati.
Sasa ukihesabu utaona zipo 21 badala ya 20. Sababu ni kwamba wimbo wa mwisho kwenye orodha wa Chura, ulifungiwa na kisha kufunguliwa. Hata hivyo uliibua hisia nyingi. Sanaa na hadhira.Ujumbe ulifika. Msamiati ukatufikia.
Kisha kuna nyimbo ambazo nimeziweka kwenye Bonus. Sababu ni kwamba pamoja na ukali wake, hazikupata nafasi ya kuziteka nyoyo za watu hususani kitaa.Ndio maana utakuta kwenye orodha kuna nyimbo zina views za hatari kwenye YouTube nk ilhali zingine zina views za kawaida tu lakini zimo kwenye orodha. Mtaani zilikamata zaidi. Na zingine (kama kwenye Bonus) zipo mbioni kukamata pia kitaa. It takes time.
Pamoja na utashi wangu binafsi, nilishirikisha watu kadhaa wadau wa masuala ya burudani kupata insight za mambo fulani fulani. Shukrani kwa wadau kama Suka,MX,Chris Kaoneka nk. Suka umetisha sana mzazi.
Pamoja na jitihada zote,bila shaka kuna nyimbo kali ambazo nimezipisha. Niwie radhi.Kupitia sehemu ya maoni au email,tuwasiliane. Niambie kwanini unadhani wimbo fulani ulistahili kuwemo.
** Mpangilio hauna maana yoyote maalumu.
Muziki– Darassa
Hainaga Ushemeji– Manfongo
Salome– Diamond Platnumz Feat. Raynavvy
Bado– Harmonize Feat. Diamond Platinumz
Aje– Ali Kiba
Zigo- AY feat. Diamond Platinumz (Remix)
NdiNdiNdi– Lady Jay Dee
Asanteni Kwa Kuja– MwanaFA
Moyo Mashine-Ben Pol
Subira- Kassim Mganga Feat. Christian Bella- Hili ni ingizo maalumu.Ulitoka late 2015.
Forever-Rubby
Kwetu-RayVanny
Nisamehe– Baraka The Prince Feat Ali Kiba
Chafu Pozi– Bill Nas
Inde-Dully Sykes Featuring Harmonize
Too Much-Darassa
Mboga Saba-Mr.Blue Feat. Ali Kiba
Lover Boy-Barnaba Classic
Natafuta Kiki– RayVanny
Sweet Mangi– Nikki Wa Pili Feat Chin Bees
*Chura-Snura
Bonus
Dume Suruali– MwanaFA feat. Vanessa Mdee
Make Me Sing– AKA & Diamond Platnumz
Unconditionally Bae– Sauti Sol & Ali Kiba
Kajiandae– Ommy Dimpoz & Ali Kiba
Su– Yamoto Band Feat Ruby
Kwa Hela– Linex- I just love this song
Moyo Sukuma Damu– Ditto