“Sawa Na Wao”-Lady JayDee (NeW)
Lady Jaydee anapotoa wimbo mpya, sharti tusikilize. She is our icon. A lady who has survived through thorns and bushes of our music industry. Long time kitambo. Sina uhakika kama huu ni muziki bora...
View ArticleYemi Alade – Africa (Official Video) ft. Sauti Sol
Pamoja na matatizo lukuki inayokabiliana nayo, Africa bado ni sehemu nzuri. Na kwetu sisi watu weusi, Afrika ndio nyumbani. Ndio asili yetu. Na bila shaka umewahi kusikia kwamba asili ya ubinadamu ni...
View ArticleDangerous Boy – Izzo Bizness & Abela Music [THE AMAZING] ( Official Music...
Izzo Bizness and Abela Music have collaborated in this summer jam Dangerous Boy from The Amazing Music Group. I loved this joint because somehow it took me back to when Izzo came to the scene with his...
View ArticleDiamond Platnumz ft P’square KIDOGO (Official Video)
Miongoni mwa nyimbo/video ambazo zimesubiriwa kwa hamu mwaka huu ni pamoja na hii. Ushirikiano wa Diamond Platinumz na P-Square ni jambo zuri. Wote ni wanamuziki wenye jina barani Afrika na hata nje....
View Article“Sawa”- Shaa (BrAnD NeW)
Kuna kitu ambacho kinanivutia sana kuhusu muziki kutoka kwa Shaa hususani tangu alipoamua kufanya muziki ambao mimi nauita “wa kwetu”. Ni aina fulani ya muziki ambayo naamini kama tungeamua kuipa...
View Article“Perfect Combo”-Joh Makini Feat. Chidinma (NeW)
There’s no doubt Joh Makini has come a long way. To get where he is, he had to hustle hard. I mean street hustle can be a blowhard. When I hear him considering himself to be the best in East Africa, I...
View ArticleSHiiKANE – LOKE (prod. MasterKraft)
After a brief hiatus the ladies we have come to know and admire as SHiiKANE are back. This time they’re even more mesmerizing with a revamped image and more daring experimental sound. It’s a pulse...
View Article“Kazi Kazi”-Professor Jay Feat.Sholo Mwamba (BrAnD NeW)
For the first time since being elected to represent people of Mikumi Constituency in the legislature, Professor Jay, has a new song. It’s a reminder of who he is; an artist turned politician. There’s...
View Article“Waache Waoane”-Chege Ft.Diamond Platinumz
As Friday looms, we thank God it is here. Music is always a great company. The new joint is even better. Talking about new joint here is a new one from Chege featuring Diamond Platinumz. Waache Waoane...
View Article“Msengenyo”-AT & Peter Msechu (BrAnD NeW)
Kwa miaka nenda rudi, linapokuja suala la muziki Tanzania tumekuwa tukijiweka mahali salama. Namaanisha tumekuwa waoga wa kujitoa “fahamu” (wenzetu wanasema taking risks) na kujaribu kuogelea kwenye...
View Article“Hawapendagi”-Ommy Dimpoz (NeW)
Kwa muda mrefu Ommy Dimpoz alikuwa hajatoa wimbo mpya. Ni jana tu nikiwa safarini na ubani wangu tuliongelea ukimya wake. Ni kama vile alikuwa akitusikia. Huu hapa wimbo mpya kutoka kwa Ommy Dimpoz....
View Article#TBT: “Hii Leo”-East Coast Team
The East Coast Team Leo naanzisha kipengele kipya. Kila Alhamisi nitakuwa natupia nyimbo,video nk kutoka katika harakati za mwanzo za Bongo Fleva/Hip-Hop na pia muziki wa Afrika kwa ujumla bila kusahau...
View ArticleVIDEO: “Natafuta Kiki”-Raymond (WCB)
Hii hapa ni video mpya kutoka WCB kwa msanii Raymond. Wimbo huu unaoitwa Natafuta Kiki ni production ya Lizer Classic kutoka Wasafi Records. Wimbo umeandikwa na Raymond huku video ikiwa ni kazi ya...
View Article#TBT:”Zali La Mentali”- Professor Jay
Professor Jay au ukipenda Mheshimiwa Joseph Haule, Mbunge wa Mikumi kupitia CHADEMA Kabla hajawa Professor Jay, alikuwa na majina mengine lukuki. Miongoni mwa nyimbo zake zilizopendwa ni pamoja na Zali...
View Article“Salome”- Diamond Platinumz Feat. RayNavvy (VIDEO)
In the late 90s, the music genre we know it as “Bongo Fleva” was at the peak. Different kind of peak because music is a living thing. It goes through stages. Ups and downs. Creativity was at all time...
View Article“Maumivu”-Esaya
On a daily basis, we receive many new songs/artists requests for publication of their content. I wish I could keep up with everything sent in. I can’t. However, I try to listen to everything sent in....
View ArticleLady Jaydee – Sawa Na Wao (Official Music Video)
Back in the 90s, Judith Wambura emerged as one of few female artists in Tanzania. The “movement” of the new generation music had started. I am not sure if we referred her as “Lady” then. She...
View ArticleTIZAMA: “Moyo Mweupe”-Masanja Mkandamizaji (VIDEO)
Masanja Mkandakimizaji ni mchekeshaji. Ni Comedian kwa kutumia lugha ya kuazima. Lakini mbali ya kuwa mchekeshaji, anafahamika pia kama mhubiri na kijana ambaye amempokea Bwana Yesu kuwa mwokozi wake....
View ArticleNNEW VIDEO: Q Boy ft Rayvanny & Shetta – MUGACHERERE (Official Music Video)
Sometimes I feel like I am loosing my Swahili. There are lots of street jargons and slangs that I am not aware of. Mugacherere could be one of those words. I have no idea what it means. Do I need an...
View Article“Rewind”-Tiwa Savage (Official Video)
If admission is a good thing, I got one. I am a fan of Tiwa Savage and her music. I think she’s talented (and beautiful). Here is her latest video from RED album. The song is Rewind. Watch
View Article